Mchongoano kati ya kenya na Tanzania.

Mchongoano ni swahili kenyans word which means “joking” kwetu huku Tanzania tunaita kumelana au kutaniana kwa kiswahili cha bongo…!

Its time ya kuchongoana kati ya Kenya na Tanzania just for fun and not otherwise. Don’t get me wrong…I love my Kenyan brothers and sisters and this thread has no any intent of hurt anyone psychological or emotional rather than enjoying and having some fun. Let’s keep it classy and not trashy.

Naanza hii kuvurumusha hii “Wakenya ni weusi hadi wakibeba mtoto mgongoni anasinzia akidhani its midnight”

What’s yours?

Watanzania ni wajinga hadi wanabebewa akili na wasomali. Tuendelee

Ahahaha!! Wakenya ni wabahili(frugal) hadi hula chakula kwa picha ya sukuma wiki. :smiley:

Throw yours!

@Dave Mtzd wewe ni mfupi hadi ukivaa buti zinafika shingoni. Wacha niangalie mpira wa Spain sasa.

@david mtz

[ATTACH=full]176431[/ATTACH]

Ahahaha!! This is funny tho.

unachongoa nani?

:D:D:D nimecheka sana…double tap. Where is my Tanzania people…I’m getting killed here.

Watanzania ni wajinga.Wanadhani tablet ni meza ilinunuliwa late.Tuendelee.

@Dave Mtzd uko na skin tight mpaka uki-wink mguu moja inainuka.

Kwenu nyinyi mafala hadi mna patia kuku zenu maji moto ati ndio zitoe mayai boilo.

Mzae wako ni mnono, akijipima weight inajiandika 1 at a time.

@Sky Eclat @GENTAMYCIN @Demiss @Demii @Davet @General Mangi hebu njooni huku we got job to do here.

Ahahaha?! Comedic gold hii.

mko idle majamaa…

bahili ni mnyama gani ?
Kiswahili kimalizwe

256 ni madanda Hadi walirepeat kunyonya

boss chezea chini bwana

:D:D:D:D:D

:D:D:D

Bahili=someone frugal

Wait a minute…ngoja nikawalete watanzania tuchongoane vizuri na hii wakenya.