MBINU ZA KIZAMAAAAAANI

Hivi kweli kwa wakati huu wa teknolojia bado wanatumia mbinu za kizamani kumvizia mtu na kumteka , mbona wenzetu wanatumia mbinu kama zile za NOVICHOK mpaka issue ikaleta misukosuko UK na RUSSIA na kuanza kila nchi kufukuza mabolozi wa nchi zingine.

Kwani hujui kama bado tupo Analogia, mambo ya kidigital labda awamu ijayo

Wataalamu wenyewe ni Wakina Joyce Wowowo what do you expect?

Tusubir siku itafika zitatumika tu… Tuendako kunaogopesha zaid.

Bado sana

Hizo ndo mbinu wanazojua sasa wafanyeje.

Ni waigizaji tena ni wasanii wa daraja la chini kabisa ambao uigizaji wao umekosa ladha.

Lakini hua najiuliza hii inatokana na nini? Kuna fikra hua inanijia kua pengine wasanii hao ni reflexion ya jamii nzima ya wa Tz…ni zao la sisi wenyewe, walivyo tuliowapa dhamana ndio tulivyo sisi kama jamii, hapa nimejaribu tu kuwaza kwa sauti

Haaaaahaaaaa. Acha utukutu bibie. Haaaaaahaaaa.

Umenikumbusha historia niliposoma kuhusu zama za kale, zama za kati na zama za mwisho za mawe. Sijui sisi tupo zama gani!..

Akili ni zile zile… mbinu ni zile zile…

Cc: @Mahondaw

“Sie tupo serious wee unatuektia!” Bravo Darasa. Joyce Wowowo hovyo kabisa. Zero in brain, zero on paper!

Bado sana mkuu hadi tubadilishe watenda kazi lasivyo ni ile ile

[emoji16] [emoji16]