Tatizo wakati sisi tunamuona MESSI, FIFA,URUSI,ADIDAS,NIKE, wanaiona pesa. Kumkwamisha na timu yake unakwamisha pesa.
ile ilikuwa penati kuliko ile ya ureno.
Ukimpeleka IWOBI 16 Bora utapunguza mahudulio kwa 50%, ukimpeleka Messi sio tu Utaongeza 50% bali hata huku mtaani Bei ya kiingilio kwenye mabanda Itapanda kutoka 500 hadi 1000.
yule refa ananikumbusha refa mmoja alikuwepo morogoro, anapewa pesa kabla ya match kisha mengine atajua yeye…hakika ni refa aliyewahi kupata vipigo vingi pengine kuliko marefa wote, binafsi nimeshuhudia akivunjwa mkono kisa alishapokea baskeli akapitisha penati moja ya ajabu sana na mpigaji alipokosa akasema irudiwe
Tatizo wa afrika munajiweka nyuma muda wote, munatafuta tafsiri ya maneno yenu mkiona mumeweza, nasema hvi, hata ile penati waliopewa nigeria siyo halali.