• Happy Mashujaa Day

Mauzauza ya Referee World cup 2018

#21
ukisoma coment hapo juu ndipo utaona waafrika kwanini tunaitwa shithole countries in trump's voice hivi kosa la refaree liko wapi,refa amewapa nigeria penati soft mno angekuwa na nia mbaya si angegoma mbona hamuongelei?
Nigeria ilipata clear chance nyingi ikiwemo hiyo mnayosema alishika ilishindwa yenyewe na wala refaree hana kosa lolote labda kama ni issue ya inferiority complex
 
mysterio Sr

Senior Villager
#22
Tatizo wakati sisi tunamuona MESSI, FIFA,URUSI,ADIDAS,NIKE, wanaiona pesa. Kumkwamisha na timu yake unakwamisha pesa.
ile ilikuwa penati kuliko ile ya ureno.
Ukimpeleka IWOBI 16 Bora utapunguza mahudulio kwa 50%, ukimpeleka Messi sio tu Utaongeza 50% bali hata huku mtaani Bei ya kiingilio kwenye mabanda Itapanda kutoka 500 hadi 1000.
Brother mawazo yako yapo shallow sana. FIFA does not work under those lines, There is no single referee who has ever received instruction from FIFA kwamba aende kuionea timu fulani. Ila mkiwa kwenye vibanda umiza mnadanganya hivyo.
 
#24

kama mabosi wa fifa nao huwa ni mashabiki kwa nini tusiwaze hivyo.
Nadhani watu wa mabanda umiza nao ni great thinkers kama Sep Blatter
 
Mtu chake

Senior Villager
#27
yule refa ananikumbusha refa mmoja alikuwepo morogoro, anapewa pesa kabla ya match kisha mengine atajua yeye...hakika ni refa aliyewahi kupata vipigo vingi pengine kuliko marefa wote, binafsi nimeshuhudia akivunjwa mkono kisa alishapokea baskeli akapitisha penati moja ya ajabu sana na mpigaji alipokosa akasema irudiwe
Refarii Matogwa?
 
Mtu chake

Senior Villager
#28
Tatizo wakati sisi tunamuona MESSI, FIFA,URUSI,ADIDAS,NIKE, wanaiona pesa. Kumkwamisha na timu yake unakwamisha pesa.
ile ilikuwa penati kuliko ile ya ureno.
Ukimpeleka IWOBI 16 Bora utapunguza mahudulio kwa 50%, ukimpeleka Messi sio tu Utaongeza 50% bali hata huku mtaani Bei ya kiingilio kwenye mabanda Itapanda kutoka 500 hadi 1000.
Umeongea kikubwa mno,nimekuelewa vzr sana
 
June14

Senior Villager
#33
Wafrika mnalilia sana, marefa. wazungu sio kama hawa huku Afrika, msiwafananishe na yule refa wa Kenya aliyeondolewa kuchezesha WC sababu ya rushwa.
 
Top