Mauzauza ya Referee World cup 2018

#8
Tatizo wakati sisi tunamuona MESSI, FIFA,URUSI,ADIDAS,NIKE, wanaiona pesa. Kumkwamisha na timu yake unakwamisha pesa.
ile ilikuwa penati kuliko ile ya ureno.
Ukimpeleka IWOBI 16 Bora utapunguza mahudulio kwa 50%, ukimpeleka Messi sio tu Utaongeza 50% bali hata huku mtaani Bei ya kiingilio kwenye mabanda Itapanda kutoka 500 hadi 1000.
 
Last edited:

ibilisi

Senior Villager
#11
yule refa ananikumbusha refa mmoja alikuwepo morogoro, anapewa pesa kabla ya match kisha mengine atajua yeye...hakika ni refa aliyewahi kupata vipigo vingi pengine kuliko marefa wote, binafsi nimeshuhudia akivunjwa mkono kisa alishapokea baskeli akapitisha penati moja ya ajabu sana na mpigaji alipokosa akasema irudiwe
 
park don

Village Elder
#13

hahahahahahaha et irudiwe!
 
Usser

Senior Villager
#16
yule refa ananikumbusha refa mmoja alikuwepo morogoro, anapewa pesa kabla ya match kisha mengine atajua yeye...hakika ni refa aliyewahi kupata vipigo vingi pengine kuliko marefa wote, binafsi nimeshuhudia akivunjwa mkono kisa alishapokea baskeli akapitisha penati moja ya ajabu sana na mpigaji alipokosa akasema irudiwe
Haa haa haa haa aiseee
 
Top