Matukio yamepungua big up mange kimambi na maaskofu

kiukweli toka lile joto la maandamano ya mange lianze na ule waraka wa maaskofu utoke kiukweli matukio yaliyokua yanatokea nchini
hata huyu dikteta khabithi amepooza

Nje ya mada. Hivi na huku kuna BAN?!

Inapendeza sana…

Cc: @Mahondaw

Wewe mleta mada, Jenesta Mhagama na Angela Kairuki mlikataa uwepo wa matukio yale, leo una shida gani?

ban za kishoga huku hakuna kafa nazo melo huko jf

Hakuna ban wala nini we mwaga vyombo tu. Wakenya hawa ya kwetu hayawahusu

Kwanza kwa kiswahili ninachoongea na matusi yalivyo ya kiwango cha juuu, sidhani kama wakenya wanaelewa

ndo raha ya KenyaTalk hiyo