[ATTACH=full]183646[/ATTACH]
Alichorwa hapo kwa muonekano wa kutia huruma, kumbe kilichokuwa moyoni alikuwa anakijua mwenyewe
Kuna mtu hapo bichwa lake kama tofali :D:D
Kuna watu wameweka dizaini moja ya mikono…!!! then linganisha na hali Halisi ya sasa…!!!
Baba Mwanasha katuweza kweli wabongo , loh!
:D:D:D…
Kweli kabisa matatizo yote yalianzia apa