Maneno ya Kiswahili yenye maana sawa au tofauti na ya Kikenya

Kwanza napenda kuwashukuru ndugu zetu wakenya kwa Kutupokea wagen kutoka Tanzania, ki ukwel tumejisikia tuko nyumbani especially mkatupa na Forum zetu kabisa ili kuendleza mijadala tulioizoea kwenye Jamii Forums
Kwa sababu ya mchanganyiko huu japokuwa tunaongea wote lugha moja ya kiswahili kama wana afrika Mashariki hii ambayo imesaidia kwa Wa Tz kutohis tofauti ya Old JF na hii Kenya Talk
Naomba wadau kwa Maana wakenya na Wa Tanzania kuna baadhi ya maneno / Misamiati ambayo kwa kitanzania inawezekana ikawa tofauti na wenzetu wa kenya so tupia maneno hapa na tafsiri yake kwa maana ya Kikenya na Kitanzania ili tuweze kwenda sawa.

Mfano
Nyanya - Bibi
Mke - Bibi

Munyu - chumvi

Bibi kenya ni mke Tanzania ni mama wa Baba/Mama mzazi

Nyanya Kenya ndio bibi kitanzania

Kn Mukunye = mkanye Tz

Kn Mukundu= nyekundu Tz

Aisee! Kumbe ndivyo ilivyo.
Nalog off

da hilo neno la pili unaweza kufikir umetukanwa

Hahahaha kabisa

Aisee
Kwahyo nikasema, “Wewe una kiatu Mukundu” nakuwa sijakutukana

Weee umenitukana bana

Kumradh mkuu

Hahaaa. Rafiki hii ni kali.

Ngoja nimuite jirani yangu mmoja anithibitishie.

@A.G. naomba upite hapa jirani.

mrembo hii hapa ni uongo:D:D Hamna neno kama mukundu bana. Neno lenyewe ni mkundu… mkundu ni pahali pale vijana wa TZ wamependa sana. Sijui waliita Tigo…

Uongo

Mmh. Kuumbe.

Ila umewaonea wanaume wa kwetu bwana. Sio kweli usemalo sababu ile ni tabia ya mtu na mtu.

Kweli bana

Hahahaha anakataa ila zunguka majukwaan utajionea mwenyewe

Inabidi nianze kuzurura aiseee. Sababu hiyo ni zaidi ya kuharibu kiswahili.

Wenzetu wanasema kiswahili ni chao sie tumeiga tu

Hahahaaa. Waache utani kwa kweli.

Sababu sio kwa kukiharibu kiasi hicho.

Huyu usimsikize.

wapi evidence mami.