Man cave manenos: making pork and ugali lunch

Nimetoroka kwangu Leo Niko man cave nikingoja kamwanafunzi fulani wa college nimwonyeshe assignment ya calculus:
Kupika lunch

  1. Porko
    [ATTACH=full]385027[/ATTACH][ATTACH=full]385028[/ATTACH][ATTACH=full]385029[/ATTACH][ATTACH=full]385030[/ATTACH][ATTACH=full]385031[/ATTACH][ATTACH=full]385032[/ATTACH][ATTACH=full]385033[/ATTACH]

2.Ugali

[ATTACH=full]385034[/ATTACH][ATTACH=full]385035[/ATTACH][ATTACH=full]385036[/ATTACH]

  1. Finally
    [ATTACH=full]385037[/ATTACH][ATTACH=full]385038[/ATTACH]

@Sokwe mtu uliwacha kukula matumbo na figo?

Hiyo ni maji ama mafuta unaongeza?

Tafuta non stick cookware. … Makes the cooking experience better

Meal yote ya msapere lazima ikuwe na thufu

Ongeza hii [ATTACH=full]385040[/ATTACH]

Another KT “birrionaire” outed

Hizi makagare za senge huwa tamu sana zikiandaliwa vilivyo

burukenge hapa ni kwako. own up.

Another KT “birrionaire” outs himselefu

@JuraMbitika hajawahi nikalia mbirionea, ni fantasy tu ile ya hii Kijiji. Hata kama ni mancave it stinks of peasantry…mbirionea asonge ugali na kukatakata manyanya na vitunguu? Itingihota men alafu kwani hangechukua mancave iko na kitchen ata bidshitter? Hii ni single room jamaa anapikia kwa floor alafu aoshee vyombo kwa karai:D

That fat is not good for your future. It may result in you having high cholestoral which is a silent killer.

:D:D:D:D:D:D:D:D:D Jimit has never lied. I done told you guys this was just a peasant. Ata mahali anakunywanga beers zake reeks of peasantry

sigwez wacha kukula figo na roho ya mbuzi :Dna grill na wide pan

Msee hapa ni kwako? Najua si mashindano lakini, tia effort. And a while ago you said you are 50 years! Wa!

punguza mafuta(cooking oil) next time bwana, roho yako itakushukuru in a few years

ii yenyewe ni own goal ata kama ni mancave:D:D
single room kwa slums banae @Jura

Tunajua kuna shida na hata sisi tuko na shida hapa na pale but @ChifuMbitika anakula ngumu walai.

Hiyo cooking oil ni mob sana bana.

Muthee all those décades umeishi you’ve never heard that Nguruwe hujikaanga kwa mafuta yake?