Malindi from above .

Very nice uku ni vumbistan kweli.

https://www.youtube.com/watch?v=Z-q8ZwjcoCQ:321

Very nice. My favorite town

Mtu wa mkono wa Drone kwa hizi video za afrikan traveller ameiva wira

Fika utembee kwa streets mtu yangu ujionee vitu kwa ground,traffic na vumbi kila corner ya downtown. Hizo sides za beach ni sawa ju ya ma miti. Naendaga huko kila mwezi and to be honest,heri mombasa mara mia

Nitafutie mkamba wangu hapo karibu na town nichukue slices

It depends uko pande gani ya Malindi/Mombasa. Sijui Malindi vizuri sana, but I’d say it’s cleaner than most of Mombasa. Mombasa once you leave Nyali is a disaster (but still better than Nairobi). Mikindani, Mshomoroni, Kisauni, Bombolulu and most of the island need a lot of work. The good news is that both Malindi and Mombasa are redeemable. And the grand pricks guy has actually given the Kilifi government a dare to clean up its act. Let’s hope they do.

Iyo town ni ndogo, Italians na mix Yao na wahindi ndio waliamua kuishi na kujaa hio maeneo. Kama uko Sawa socially unapita na italians na wahindi kibao.
Corona imeleta shida hadi beaches hazifanyiwi usafi, nikuchafu sahii, ona vile izo beaches chafu
Before Corona unaenda beach unatoka na manzi watatu, ukicheza poa you get laid that night

nect tym bwam-mzee pitia hapo bondeni kwa madafu sellers, hapo Oil Libya ndio home thweet home base, tusalimiane na upate madafu fresh za kunywa.

[ATTACH=full]381957[/ATTACH]

Njaruo Kuma moto tafuta shilingi ndio uweze kuenda huko uka skip na foreskin flaps zako za 2.48kgs.

Chunga sana. Hiyo njaruo kinyozi itaanza kukupapasa sehemu nyeti.

LOL :D:D:D nakataa yeye hio mikono mbili na ya tatu

By the way ile ng’ombe( real mnyama) huchunga petrol station karibu simba coach ingali hai?.

:D:D:D haah lini hio uliona ngombe hapo bro. maybe that was long time, we sit hapo barabarani till night times sijaona ngombe hapo. simba coach iko opposite road hapo but ukweli sijaona ngombe hapo.

Kule malindi.

Bruda hapo sio malindi, hapo ni mombasani bondeni pale kwa madafu.

Napamanya sana.
Nilikua namaanisha hio ng’ ombe iko kule malindi.

malindi zamani za kale kwa bawali halwa hapo ndio i visit whilst am at a freinds villa de chucha on the beach

Malindi in general is a place i’d relocate ,the picturesque beaches,foliage cover in some areas,the people much nicer ,but vumbi buda,fine sandy dust alafu uweke traffic ndani yake…get the picture?

Nitakuja mtu yangu . Weka pin

yeah i do get the pic. one thing i hate is them junkies around the beach fronts etc, wananisinyaa sanaa, they cant go and hide in their ghettos and do their sniffing furthermore, waanze kusinzia mbele ya umati ya watu.