Malicious traffic cop

Habari yenyu elders?

There’s this traffic cop huwa amejiseti ile junction ya ngong road, posta, st hannahs, ligi ndogo, although traffic lights ziko fully functional. Hiyo jamaa inakuwaga hapo majioni 6PM kuendelea.

Sasa shida ni umbwa huwa inadisregard traffic lights kabisaaaa. Taa ziko red burukenge inaambia dereva wa kutoka posta waende. At the same time anaambia umati ya kuelekea karen waende. Leo karibu jamaa wa probox agongane na Renji Rova ingine kali sana. Alafu umbwa inajifanya haijacheki hiyo drama!

Kuna siku taa ziko red mi nikasmamisha Suzuki alto yangu. Umbwa ikanisignal niendelee. Mara hiyo hiyo umbwa inaambia dere wa the oncoming traffic waendelee. Ilibidi nimekanyaga brakes hadi alto ikachemka! Alafu umbwa inashout “Unapenya tu bro!” Karibu nitoke nje ya suzuki nipige hiyo umbwa suplex.

Kaeni radda.

Have seen the same in inda where cops wave at on coming traffic to overlap then accident ikitokea wanaku ruka !

Alto after kugonga mbwa , dog walked away with a slight limp ! mtu wa alto akabeba battery akapanda ma3 !

[ATTACH=full]411556[/ATTACH]

Mimi alto nitabebwa nayo nikiwa already dead. Nishawahi panda hio kitu ile time ziliingia uber. At that point is when I realised dying in an accident between the alto na bicycle could be my fucking reality. Kitu haina crumple zone nyuma hata kidogo na unaenda matako yako ikiwachana na lami by inches.

Sielewi mbona traffic cops wajitokeze na lights ziko fiti. Raiaa wengi hufollow izo lights ispokuwa mambwa za ma3.

I use ngong rd all the time, noticed the same

Gari ni kukupeleka point A to B.

Kwa hivyo mi sioni tofauti Alto yangu na Rolls Royce. Labda luku tu!