Makapuku Forum

Wakuu Habari.

Huu ni uzi maalum kwaajili ya makapuku wote wa JF.
Lengo ni kujadiliana kuhusu changamoto mbalimbali,kupeana michongo ya maisha na soga za hapa na pale.

Shukrani kwa Founder wa Makapuku Forum Dada @Shunie.

Nawasilisha…

Asante sana mkuu wangu ubarikiwe mnooo kwa kutuletea uzi wetu
@Sakayo
@mumu
@Mzigua90
@Dinazarde
@inna
@Demiss
Na wengineo

Afadhali sasa

Abeeeeeeeee

Habari yako D

Tumoo yuko wapi jamanii

Hahhaha afadhali ya nn

S

salama S kwema?

Tumo hayuko online akiingia atakutana na ujumbe wangu

Afadhali nitamuona Tumosa wangu

Kwema kabisaaa bwana shemeji

Ooooh akuje tuu aki

Hahaha wewe mzee wa dushe na papuchi una mambo sana atakuja faster nimemwambia amlete na moneytalk mana wapo karibu

Mwifwa bwana kweli bongo movie kashindwa mleta mbebez wake

Atakuja

Heeh! Kumbe hadi huku ushemeji upo?

Hahah!! Akuje tu kwakweli umtafute na Mbalizi

Kwahiyo huku upo na mpango wa kutafuta mbebez mwingine

Hahaha
Nilisahau

Labda anataka apate mkeii

Jamani mbalizi hata sijui nitampata wapi