Majamaa we need to talk

#9
Tangu ethic watoe surprise hit, every little "msanii" got emboldened and is on a mission to release the raunchiest track possible. Na ndio walikuwa wanakazana na #PlayKenyanMusic juzi.
 
#20
mimi kitu imedefine sadness hapa ni vile nimeenda kwa youtube page yake uyo otile black kuna ngoma moja inaitwa "kable"...of course explicit..guess nani ako featured.....Moroko..manze enthusiasts wa underground wenye mnajua moroko,ni ati uyu msee haungeajasema atatokea in such ngomas.ok ata kama wote wameenda commercial(akina octoh,rabbit,JKON),si angeenda commercial big,sasa ata aendi anywhere
 

Top