Maisha ya UKIMBIZI

Sikujua hata siku moja watanzania tutaishi UGHAIBUNI kama wakimbizi. Leo hii wana JF wote tumekua wakimbizi?
Lini nchi yetu itatupa uhuru wakujieleza? Labda 2025 jiwe litakapo ondoka.
Hivi polisi wa Tz wanaweze kuja kinikamata huku?

Ndio ivyo, wajinga walishachagua 2016

Kumbe ukimbizi ni taabu. Hata huu ukimbizi wa kimtandao unaleta shida na fikra mbaya kwa nchi

Hivi ukiwafunga watu midomo, ndio maendeleo yana kuja chap chap

Ndo mawazo ya jiwe

wanasema when one empire collaps is the rise of the other japo sitak kuamin katika hili. Halaf hawajamaa wajiite wenyewe ma villager sisi n ma town expart, kama hawatak tunawapa ban mpk mods wao

aiseeh

Time will tell…

Wakenya ndugu zetu, tusaidieni kama sisi tulivyowasaidia ndugu zetu wa kusini mwa Africa.

Villager hii si mchezo yaan huku ni zaidi ya kudogodeshwa

Hii ni shida kweli.

Teh! Eti villager.

Hahahaaa…
UKIMBIZINI,makande yanaitwa “githeri”
wacha niyale tu!

Hahaah mkuu me ndio nafika kambi ya ukimbizi mida hii nashangaa naitwa villager

Yaani hawa naona walitoa kwenye “global village” wakasema wakaazi wake wawe “Villagers”. Ila wengine kuwa wanakijiji ni kutaumaishana!

Ndio maisha ya ukimbizini kutoka expart member hadi ka common villager-shidaa!

Hawa wakei ni wakuda

Kumbe wanyan’ing’we mmejificha huku?

Eti mimi naitwa ka new villager?

Tme will tell…

Cc: @Mahondaw