MAISHA ya DADA zetu WHATSAPP, FACEBOOK na INSTAGRAM
Wiki ya kwanza
Status:“Location flani amazing”
“Having fun”
“I love my life”
“sijali mnayosema nafanya nachotaka”
BAADA YA MIEZI MIWILI
STATUS:“Binadamu wengi ni wasaliti”
“trust nobody”
“Na hili nalo litapita”
BAADA YA MIEZI SITA
Status:“Yesu wewe ndio rafiki wa kweli”
“Bwana ndiye mchungaji wangu”
BAADA YA MIEZI TISA NA KIDOGO
STATUS: "Nakupenda mwanangu
hahahaaaa…Define Specialization
Heheh!! Wanaenda na mabadiriko ya hali ya hewa
Ile status ya kwanza na ya mwisho zina uhusiano mkubwa sana. Hebu zitafakari kwa makini
Ukiona manyoya ujue keshaliwa
circle!.. wakifika mwish wanaanza upya.
Busy
Urgent calls only
Hey there, I’m using WhatsApp
Sleep
inaukweli flani hivi so wawe makini zaidi ya hapo
Ukisikia mtu kapiga ukelele gizani ujue jiwe limempata…
Eeh status lazima ibadilike bhana.
Mbona haujaweka ya dadazetu wa Jf…???
Busy
Haaaaaaaahaaaa
Fact
Status itayofuata hapo “Najivunia kuwa Single mother”
Hahhahahaha
Akiweka uni tagi