Maaskofu mliokutana na Jiwe, mmemuuliza habari za Lisu? au nayi ndio wale wale!

Mmemuuliza yanayoendelea nchini KISIASA KICHUMI NA KIJAMII au mmeimba mapambio vile vile? Mlikuwa na ageNda za kweli au mnalinda misalaba yenu shingoni?

Wakikujibuu niite

Sidhan na watakuwa wametishwa

Nimependa kuimba mapambio maana ndilo linalowezekana

Sidhani kama wale maaskofu wakorofi walikuwa sehemu ya ujumbe huo…

Viongozi wa dini siku hizi wamegeuka kuwa sehemu ya watawala

Hawana uthubutu wa kuulizia taarifa kama hizo…

Cc: @Mahondaw

Misalaba ya nini sasa? Kukusanyia sadaka?