Ma greater thinker wako wapi

Jamii Intelligence lilikuwa jukwaa muhimu sana na mahususi kwa ma GT lakini tangu tuje huku ukimbizini siwaoni kabisa na Uzi zenye misisimko hazipo kabisa au hawajatambua uwepo wa JF ndani ya KT

Unaweza ukaanza kuwa wewe “Great thinker” anza sasa.

dah nimemiss sana ligi ya Kiranga na wenzake

Sasa member hata theluthi hawapo huku,na bado unataka iwe kama JF!!

Great thinkers wamekuwa great sinkers.

Maisha haya!

Tuendelee kuwasubiria wana familia wenzetu!

Ndani ya siku 30 hizi member wengi watakuwa wameshajua haya makazi mapya. Kufikia sasa naona watu wanazidi kumiminika huku.

Sio kweli mkuu…bila kumtumia mtu mwenye ushawishi kutoa taarifa hii,huku tutaendelea kuwa wachache

Ni kweli usemayo mkuu, lakini kwa wiki hii nimeona member wakizidi kuongezeka. Mimi binafsi nikiingia twitter nawatonya watu kiana. Na ninapokutana watu wenye uelewa wa siasa nawaambia jf iko mchepuko KT. kwa jitihada zangu sio chini ya watu 10 nimewaleta humu.

Kweli kwa kufanya hivi pia tunaweza kuendelea kuongezeka siku hadi siju…

[COLOR=rgb(184, 49, 47)]siju=Siku…

kweli mkuu ni muhimu familia yetu kujua tuku huku maana kurejea kwa JF naona bado kitendawili

kiranga njoo huku uendeleze ‘bato’ wakina mshana washakushindwa

wapo kenyatalk

Bado kidogo watakuwa great stinkers

jukwaa hili kule kwetu lilikua la kibaguzi xana,

Kiranga Wapi ulipo

Sasa huyo great thinker mpaka Leo ajajua kama Kenyatalk kuna hii huyo sio great thinker

@Hajar ni great thinker in my eyes. Mami njoo umjibu huyu kaka mbona JF ya KTalk imepungua msisimko.

Eti wanadai ‘Nyumbani kumenoga’.