Ma greater thinker wako wapi

Darmian

Village Elder
#10
Ni kweli usemayo mkuu, lakini kwa wiki hii nimeona member wakizidi kuongezeka. Mimi binafsi nikiingia twitter nawatonya watu kiana. Na ninapokutana watu wenye uelewa wa siasa nawaambia jf iko mchepuko KT. kwa jitihada zangu sio chini ya watu 10 nimewaleta humu.
Kweli kwa kufanya hivi pia tunaweza kuendelea kuongezeka siku hadi siju..
 

Top