Lugola kangi.mdomo uliponza kichwa.

Hivi anajisikiaje baada ya aliyemtaka kufika ofisini kwake siku kumi zilizo pita hakwenda,na jana kateuliwa kua katibu mkuu ofisi ya rais.

Mbona maagizo yake yote yanapuuzwa?,pamoja na mbwembwe nyingi alizo nazo?.swala la yule askari_mbwa ni mfano wa jinsi apuuzwavyo.

Hivi haoni haja ya kutuliza mizuka?

Ukiona Mtumishi wa serikali ameanza kuvuta Bangi ujue tayari ufalme wao umefitinika…tulia uone

Yetu macho

inabidi ajitafakari japo anataka kumu.impress mkulu

Pengine anadhani kapewa kichwa ili kufugia nywele, maana si kwa kukurupuka kule, kila siku ni full maagizo na vitisho!..

bangi mbaya sana,hakika ufalme huu umefitinika siku zitaongea

hasa ukiwa mzee.

Tuone vile vile kama ataendelea kumfuatilia mbwa boby anayelinda kwa Bashite

Kazi ya kichwa ni KUBEBA MIZIGO
nalog off

polisi wamemnyoosha

Tushaona kinachoendelea…

Cc: @Mahondaw