Loan apps zilienda wapi?

Siku hizi sioni adverts za Branch na Tala kila mahali. What happened?

Customer wote walipata kashida upande wa mpesa.

Tuko 14 million huko CRB, ni nani bado anachukua loan? Tukifungua chama cha loan defaulters tunachukua serikali by 8am.

Ni heri hivyo. Those apps are predatory. I’ve never used any.

Unsecured loans hatulipi .

Umenikumbusha kulikuwa na funny video ya msee amekataa kulipa loan

Epuka loan za kiosk

Walitozwa ushuru.

Tukabaki na fuliza za Uhuru.

Hio ni slavery. You will never grow yourself.

Tala bado iko

I decided to deliberately default after assessing how predatory they were. Unalipa loan na kuchukua tena. Waliniweka CRB but I still access loans interestingly from formal establishments after they assess my cash flow.

How much do you owe the mobile apps institutions in defaulted loans?

Walifungiwa soko kuongeza customers wa fuliza. Nlisoma mahali Kenyans borrow 1billion daily from fuliza. You can imagine the profit margin. Alafu mnalalamika watu walitengeneza city yao. Mimi limit yangu ya fuliza Ni 8k

Mimi fooliza sio nikiregister. God have been good to me. Labda nikopeshane.