Liverpool wananitoa kwa 91000
degenerate
Umeffi
takataka attention whore
Ebu leta hoo.slip tuone
na porto jana, walikutoa kwa ngapi?
Sikubet
How comes they 74% in possession?
Walinitoa kwa 63k
Wameongezewa ya tano…ujinga tu
Penda sana game ni moto nangoja comeback of the year
Wacha kulia kuna watu huku nje wanagamble na 500k[ATTACH=full]327501[/ATTACH]
EPL hapana mchezo
Degenerates
Six
6-2 Lawd of mercy
True, kwa wengine nikama drug, Hawa wazi tulia bila kubeba big. Kuna mwingine huenda randan na 1M kubet kwa Paddy power shops na harudi na kitu.
7-2 Hata Arsenal hatupanuangi hivi
Leo wenye betting companies watalala vizuri sana. Mabet zimeungua.
[ATTACH=full]327503[/ATTACH]
I knew that one day, tutapatikana. Sikujua kana kwamba itakuwa leo. hiyo 7-2, nakubali kabisaa, kabisa.