Little pleasures

@Dennis young next time ulete real food. Hapana chakula ya quail…[ATTACH=full]258521[/ATTACH]
The after math…[ATTACH=full]258529[/ATTACH]
Kisha matembezi kwa akina @Cogito ergo sum . Mkubwa pia…[ATTACH=full]258531[/ATTACH]
Kisha beach walk kiasi…[ATTACH=full]258533[/ATTACH]
There after kafobe kashike kama ghost[ATTACH=full]258534[/ATTACH]

this is the life

Nice

Pombe weekday hapana

Hio ugali ni kidogo sana.

Ndimu pia ndio salad? :D:D:D:D:D

Nimekuja side hustle hapa Kilifi, nikamaliza mapema. Kwa nyumba ni DM tu.

Sitaki majaribu banae…

Wacha nifike kwa nyumba khupipi kama yuko.

Cheza chini omwami.:D:D

Hiyo una sprinkle kwa hiyo samaaak kama drip irrigation…

Miluya hiyo sembeste ni 50 tu. Ukiwa na njaa saaidi parting with another kha fifte sio mbaya.

umekula fish kama kakunguru.Unaachia nani engine akule?

Inasaidia nini?

Miluya hiyo sembeste ni 50 tu. Ukiwa na njaa saaidi parting with another kha fifte sio mbaya.

Ina leta ka flavour fulani hapo swaafi saaidii

:D:D:D wataka nile hadi mifupa ? Napenda momo pekee…

Ngombe you turn the fish the other side

Nimekula pande zote kama bata wariahe…