Leta kipimio yako apa!

[ATTACH=full]177603[/ATTACH]

[ATTACH=full]177604[/ATTACH]

[ATTACH=full]177606[/ATTACH]

[ATTACH=full]177607[/ATTACH][ATTACH=full]177607[/ATTACH]

Kweli Sasa kila mtumishi anajifanya anauchungu na nchi!!!kama sio kusumbua watu tu!!!?mnashindwa kudhibiti huko ziwani mnakimbilia hotelini?kweli hakuna mambo ya msingi zaidi ya hayo?kwa hiyo kama mimi ninafuga samaki utanipangia niwavue wakiwa na ukubwa gani??

Halafu hawa wasenge hawakuvaa gloves na wana shika samaki ambao tayari wameshaandaliwa mezani kuliwa.

Hii ni aibu kwa maofisa wa serikali kupima samaki tena kwenye mgahawa na rula.Hawa walitakiwa kuwabana wavuvi na masoko makubwa kutokuuza samaki ambao hawajakuwa tayari kwa kuliwa na sio kwenye majiko ya migahawa,Nonsense,shame,shame

Seriously hivi hawasoma zoology mpaka watumie rula kama kipimo?

[ATTACH=full]177895[/ATTACH]

Mpina kaomba radhi… Without no further actions to his men

Nchi hii sasa nimeshajua nani katuroGA…
Muuzaji wa hotelini ana kosa gani…?? kuuza samaki?kupika samaki?kununua samaki? kwasababu kuna wengine wanauza tu samaki hotelini ila hawana knowledge na samaki, yeye akiona samaki amenona anafaa kuliwa ananunua. sasa badala utrace wapi samaki wanatoka yeye anakamata walioandaliwa mezani. eti kilo tatu!!!SHUBAMIT Kunyambegere

Tanzania ya Viwanda, Hongera Ngoshas(Pombe,kolomije,Mpina Etc)

He messed up

Taiga la aibu hili
Nalog off

[ATTACH=full]177967[/ATTACH]

ilitakiwa watz tuwe happiest people, tz kuna vituko sana :smiley:

:D:D

Haaaaahaaaaaaa.Full vipimo. Masikini nchi yangu.

Upumbavu of the highest level kabisa.