Leta kipimio yako apa!

Kibamilo

Senior Villager
#5
Kweli Sasa kila mtumishi anajifanya anauchungu na nchi!!!kama sio kusumbua watu tu!!!?mnashindwa kudhibiti huko ziwani mnakimbilia hotelini?kweli hakuna mambo ya msingi zaidi ya hayo?kwa hiyo kama mimi ninafuga samaki utanipangia niwavue wakiwa na ukubwa gani??
 
donbeny

Senior Villager
#7
Hii ni aibu kwa maofisa wa serikali kupima samaki tena kwenye mgahawa na rula.Hawa walitakiwa kuwabana wavuvi na masoko makubwa kutokuuza samaki ambao hawajakuwa tayari kwa kuliwa na sio kwenye majiko ya migahawa,,,,,,,Nonsense,,,,shame,shame
 
Mshana Jr

Senior Villager
#8

Seriously hivi hawasoma zoology mpaka watumie rula kama kipimo?
 
Last edited:

Gidheli

Village Elder
#11
Kweli Sasa kila mtumishi anajifanya anauchungu na nchi!!!kama sio kusumbua watu tu!!!?mnashindwa kudhibiti huko ziwani mnakimbilia hotelini?
Nchi hii sasa nimeshajua nani katuroGA...
Muuzaji wa hotelini ana kosa gani..?? kuuza samaki?kupika samaki?kununua samaki? kwasababu kuna wengine wanauza tu samaki hotelini ila hawana knowledge na samaki, yeye akiona samaki amenona anafaa kuliwa ananunua. sasa badala utrace wapi samaki wanatoka yeye anakamata walioandaliwa mezani. eti kilo tatu!!!SHUBAMIT Kunyambegere
 
Mshana Jr

Senior Villager
#16

Attachments

Top