Leo ni ALL IN. Pesa sio shida!!

[ATTACH=full]485524[/ATTACH]

3bob msee

Just imagine. Ningewekelea hata 5 bob ni vile sitaki kuFlex sana. Pesa sio shida.

:D:D:D naona Sasa umetoka kwa shilingi moya. Hii bet itaungua lakini :D:D game ni draw normal time

[ATTACH=full]485529[/ATTACH]

Argentina hawawezani. Lakini ikiungua pia ni sawa. Pesa sio shida.

Corner imekunyisha slip maji

Malisa Dorobo

[ATTACH=full]485589[/ATTACH]

:D:D

Hope ulistake kiunono

Huwa si bet. Hapa nilikuwa nmeona mbali sana

I am ruined.

Uliplace aje two markets one game kama bet365