Leo hii naitwa villager......

Ushauri tu ma admin ya tunaomba mtutolee izo villager kwetu sisi villager tafsiri yake ni ushamba

Aliyesababisha tuitwe washamba anafahamika.

Mwambie Jiwe atufungulie JF maana nyie ndo mlimshauri aifunge

Unatafuta nini huku? Si mnayemshangilia ametimiza mnalotaka, sasa huku unatafuta nini?

Kwa akili zako bora uendelee kuitwa villager tu

Huyu jamaa ni mjinga kweli.

Utaachwa kuitwa villager wakati waziri wa nchi kila siku kuna tangazo linapita kwenye Television ya taifa akisema TV hiyo ya taifa itaonyesha mechi zote 64 za kombe la dunia huku jambo hilo sio kweli? Sasa kama jambo dogo hivi limekushinda utamzuia nani kukuita villager? Tena hata hilo jina la villager ni kama umeheshimiwa sana ungeweza kuitwa lile shimo la kutolea makininia hapo uani.

Poleni sana…

Cc: @Mahondaw

Unataka uitwe aje? Cityer?

Shambulio la aibu, ila kipo cha kujifunza.

Mwenye tatizo ni yuele aliyekuita ‘villager’ au yule aliyekufuza nyumbani?

I see no problem , Jina halina tatizo tunachohitaji ni hoja na thread huku

[SIZE=5]MakinikiA[/SIZE]
JF-Expert Member>>>>>>>>>>>>>> Villager>>>>>>Shamba man:D

Hakika jiwe amevuruga kijiwe.

Nasema tuitwe tu! Umeshindwa kupambana na nyumbani huko unakuja kuleta ujuaji wako huku tulipo kwa mkopo!

Punguza kudata aseehhh

Si tumemchekea Stone!

Usafiri Kafiri. Si tupo ugenini! Tukubali majina yote

Stone tangawizi anajifanya mkali anagawa chugu kama miba asehh ngoja tuvute pumzi tu asehh

Hakuna namna tena