Leo hii naitwa villager......

Mr. Shark

Senior Villager
#26
Ushauri tu ma admin ya tunaomba mtutolee izo villager kwetu sisi villager tafsiri yake ni ushamba
Yaani Mgeni Umeonewa huruma baada ya kufukuzwa kwako ukakarimiwa tu huku ugenini kupewa msaada wa kuishi sasa unataka upange wewe aina ya chakula?
We kula tu chochote utakachokikuta mezani Mzee, hutaki basi ondoka urudi kwenu,
 

Top