Leo hii naitwa villager......

Tindo

Village Elder
#7
Ushauri tu ma admin ya tunaomba mtutolee izo villager kwetu sisi villager tafsiri yake ni ushamba
Utaachwa kuitwa villager wakati waziri wa nchi kila siku kuna tangazo linapita kwenye Television ya taifa akisema TV hiyo ya taifa itaonyesha mechi zote 64 za kombe la dunia huku jambo hilo sio kweli? Sasa kama jambo dogo hivi limekushinda utamzuia nani kukuita villager? Tena hata hilo jina la villager ni kama umeheshimiwa sana ungeweza kuitwa lile shimo la kutolea makininia hapo uani.
 

Top