laptop con

kuna siku bado nikiwa mgeni Nrbi, pale accra road tao, nlikua nmesimama nkingoja mtu akuje anipick.Kidogo kidogo jamaa flani alikua amevaa ma chains na shade akakam kando yangu akanishow “niaje brathe…mali safi ndio hii…kitu mbichi…kitu fresh…cheki mbuluuu…cheki mbuluuu imestand!” alikua ananionyesha kitu flat ilikua ndani ya briefcase hii ndogo ya black.Me kuiangalia vizuri ivi nkaona “hp” …kumbe ilikua mini laptop.Nkaanza kupigisha bei akaniambia “nijenge tu brown nane mali ni yako!” Nkashangaa cz sijawai skia laptop ata ya second hand ikiuzwa cheap ivo! na vile nlikua nmetoka ocha i was “loaded” cz i had sold my harvest of wheat.So nilichangamka nikampea pesa…alafu akaniambia “haina power …enda ushikishe nare ukifika kejani” …after some 40 minutes of waiting to be picked…finally my brother akatokea akanichukua.Nilikua nimefurahi yangu yote…ata sikushow bro nlingoja tu nifike kwa nyumba nimringie na laptop.Ata sikutoa viatu…niliingia nayo kwa hao na kuharakisha kufungua briefcase…watuuuus… sidhani kama kuna mtu kwa hii group amewahi faint mara mbili…akaamka akalia… alafu akafaint tena… na akafaint ya mwisho…https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t29/1.5/16/1f602.pnghttps://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t29/1.5/16/1f602.png..ile kitu nliona…plastic ya basin nyeusi…imepigiwa frame ya mbao kama ile frame ya picha …nilikunywa wiki mzima…sitawai sahau

Tuliita hii bafu chafu

:D:D:D:D:D

:D:D:D

TOJ :D:D:D

Hiyo inaitwa kukaribishwa mjini.

Mjini akili, nguvu mashambani.

:smiley:

:D:D:D

Niligongwa 1k nikiwa bado high school. Na hiyo con game exactly tu. But jamaa alinishow ficha simu kwa mfuko makanjo wasitusumbue. Thank God juu kutoka hiyo siku ata mtu apigwe risasi siwezi simama mimi hutembea tu tao.

:D:D:D:D

brown ni pesa ngapi? @kush yule mnono

Brown ni 1 sausand ama ngirii

Hehe mujamaa, hio inaitwa bafu chafu for real … mimi nliuziwa tenje ya matope for 500 pale Tom mboya, nje ya Tuskys