la liga ni meeef...

ukiwacha don Carlo na Gareth Bale pamuoja na El Cholo amuna kitu apo santandar, barca anawekeawa diemanshaft as we speack…:smiley:
:D:D:D:D:D

Iyo squad ya Barca haina uzito. Apart from veterans Pique na Busquets the rest ni slighty above average.

wakuje EAC wacheze na Simba banae, wawache kuembarace badge yao uko UEFA

Kumbe Messi ndio alikuwa ameshikilia hio team takataka, Bayen imewatomba vile musee hutomba malaya wa 50 bob

Lakin Lewandoski ni noma saii, rasma atese

I thought Philippe coutinho atakuwa na impact.

Lakini huyo president anakaa kuamsha barca. Pia time Pep akianza Barca haikuwa imejaa wazito ilikuwa ronaldinho na wakina eto walikuwa wanaanza kuondoka.
Waki weka right coach team itarudi na fujo.

Pep alipata kikosi noma sana. Kazi ilikua tu kuwamanage…
Pep has in fact never built a team from the ground up.