Hi…
Kiukweli mimi napenda kweli kuvaa kikuku lakini nikitaka kuvaa naambiwa utaonekana unagawa tigo.
Yani najiuliza kwanini na ilikuwaje watu wakafananisha kuvaa kikuku na kuliwa tigo.
Watu na miguu yetu ya BIA tukivaa tunanoga balaa ila kuna watu wametuharibia urembo wetu kwa kufananisha na usodoma na gomora.
Wanaojua mtujuze…
Doncute
Maelezo bila picha ya mguu wa bia ni uzushi
Weka picha ya huo mguu…wakenya wanasema"tusafishe macho"
Btw,zamani wale waliokuwa wanajiuza,ndo waliokuwa wanavaa hivo vitu
Mkuu nimeshindwa kuweka picha…nisaidie
Bonyeza kwenye icon ya mwisho ya keyboard,kwenye row ya B I U TI
Bila shaka lisemwalo lipo. gugo vizuri utaelewa.
Ila siku hizi watu hawavai hvyo na bado wanatoa tiGo as normal
nasubiria kuona mguu wa bia…