Kwanini Mwenyezi Mungu katika ' Amri ' zake 10 hii ya Kutokupiga ' Chabo ' Watu wakinonino hakuiweka?

[FONT=courier new]Rejea Kichwa cha Habari na serereka au tiririka zako tu tafadhali.[/FONT]

[FONT=courier new]Nawasilisha.[/FONT]

Hiyo ipo mkuu, ila inaingia kwenye vifungu fulani kama usitamani cha jirani yako, Usiibe. Kupiga CHABO ni wizi
wa faragha za watu.

Nadhani ipo ndani ya ile amri ya ‘Usitamani mwanamke asiyekuwa wako’, maana asili ya kupiga chabo ni kutamani…

ipo mkuu, zile amri zimebeba mambo mengi ndani yake…angefafanua zingekuwa amri 1000 hapo woote tungeenda motoni, maana 10 tu zimetushinda

Ungeenda peke yako

hahaaaaah

Hiyo imejumuishwa kwenye “Usitamani mwanamke asiye mke wako” na Usizini

[FONT=courier new]Shikamoo Mkuu / Villager!

Nimecheka sana na hii ’ post ’ yako. Ahsante kwa kuniongezea Siku zangu za kuendelea kuishi maisha haya magumu na upimwaji Samaki na Rula.[/FONT]

[FONT=courier new]Kwahiyo Mkuu / Villager ina maana Mwenzetu Wewe hudhambiki?[/FONT]

Unajua kuna sheria nyingine hazipo ila zimezungumziwa kwenye biblia…mfano kujichua(punyeto),kwamba ni kosa…pia kula kupita kiasi ni kosa

[FONT=courier new]Hiyo ya ’ Kujichua ’ ipo Mkuu / Villager? Hebu ’ itandike ’ hapa Wapiga ’ Nyeto ’ wabobezi tuidadavue na tuinyambuenyambue kusudi tuwe nayo makini tusizidi Kumkosea Maulana.[/FONT]

Sikumbuki ipo katika kitabu gani ndani ya biblia,ila andiko lisema,“ajitoae manii(shahawa) kwa mkono wake ni mchafu mbele za Mungu”

[FONT=courier new]Ila ’ logically ’ mbona kama vile naona hakuna ’ any connection ’ hapo? Hivi kwa akili ya kawaida tu unaweza kuhalalisha Kutamani au Kumtamani Mke au Mume si wako na upigaji wa Chabo? Mimi hapa nakataa na nitabishana hadi Kesho ambapo Argentina ’ itafurumushwa ’ rasmi kunako Kombe la Dunia huko Urusi.[/FONT]

maandiko unayoona kwenye biblia na quran sio maneno ya mungu,ni moral teachings walizoandika viongozi wa jamii wa kipindi hicho kuongoza watu wao…ilibidi kuwadanganya kuwa wameambiwa na mungu for imposing fear in their hearts and comply…yes,i said it

Hakuna connection,kumtamani means unakuwa unataka umtafune…ila chabo ni kifurahisha nafsi yako tu kwa kuona kile kinachofanywa na hao ambao wanaweza wakawa na wao ni wazinzi tu na sio wanandoa

[FONT=courier new]Wewe inaonekana Kanisani huwa unaenda Pasaka na Krismasi pekee na kama Nyumbani Kwako una ’ Biblia ’ nahisi sasa hivi itakuwa ’ imetukuka ’ kabisa kwa Vumbi huku ikiwa imewapa makazi ya kudumu ’ Tandubui ’ na ikielekea ’ Kuchakaa ’ vile vile kwani huitumii. Na pia unaonekana una ’ dhambi ’ mno Weye! Mkristo wa kweli huwa hasahau ’ aya ’ za Kimungu.[/FONT]

Mkuu kuijua biblia yote sio kazi ndogo…kama na wewe ni mkristo embu nikumbushe hiyo aya inatokea wapi??

[FONT=courier new]Huwa nawapenda mno na sana Watu ’ Genius ’ kama Wewe Mkuu / Villager. Ni Watu wachache hapa duniani Wewe na Mimi tukiwemo ndiyo tunaweza kufikiri ’ outside the box ’ hivi ila wengine wameshalishwa ’ Sumu ’ za Kiimani na wanaogopa hadi Kuhoji vitu ( Issues ) kwa Kigezo cha ama utalaanika au sijui una Pepo.[/FONT]

[FONT=courier new]Mimi ndiyo kabisa ’ Popoma ’ wa Injili, Biblia na Imani.[/FONT]

So Mungu hayupo??