Kwanini 'Kuugua' kwa Ruge Mutahaba 'Figo' zake na Kulazwa huko India kumekuwa Siri?

[FONT=courier new]Ni taarifa ambazo nimezipata kutoka kwa ’ chanzo ’ changu ’ aminika ’ kabisa ( lakini naendelea kuzihakiki zaidi ) kwamba Mmoja wa ’ Mabosi ’ Waandamizi kabisa wa Kampuni ya Clouds Media Group Ruge Mutahaba amepelekwa kwa ’ matibabu ’ zaidi nchini India kwa matatizo ya ’ Figo ’ yanayomsumbua na kwamba hata ’ Ugonjwa ’ wake huu umefanywa ’ Siri ’ kiasi kwamba hata Wafanyakazi wake wengi hawana habari juu ya hili labda waanze kuzisikia / kuzipata hapa ’ Ukimbizini ’ Kenya Talk kwani kumefanyika ’ Usiri ’ mkubwa juu ya ’ Kuugua ’ Kwake huku.

Wenye taarifa zaidi juu ya hili karibuni mtiririke na mserereke nazo ila nimezipata kutoka kwa Mtu wa karibu ( jina kapuni / nalihifadhi )

Nawasilisha.[/FONT]

ngoja waje

Mzee baba kama kawa kama dawa!

Leta leta leta

Basis taarifa umepata kwa kusaga

Comrade tupo huku pamoja. Kiukweli ‘jamaa’ hali yake c njema. Tia maji tia maji.
Kuna ‘Swahiba’ wangu mmoja alimuona juzi kati kwenye ile hospitali ya ‘wanyumbani Bukoba’ anasema mungu amsaidie tu.

Nasubiri ubuyu

Ukiwa na NGOMA, gitaa na kinanda unaweza kuanzisha bendi?

Mficha ugonjwa…
kazi kwake

Du

Mzee wa Code.!

Duh, Mungu amfanyie wepesi apate ahueni.

Pole sana shemeji.

duh, bila LUKU uwezipata umeme, sio mimi. tanesco !

Kaa ufikirie ‘Afya’ za hizo ‘LUKU’ zilizopewa umeme. Lori linafika basi

BASHITE akiifaham hiyo hospital aliyofikia si anaweza wahonga manesi wa-replace figo za jamaa na za panyabuku ati!
IBAKI kuwa siri tu…

ha ha ha

Mungu amsaidie apone

Hahaaa wanaofahamika

Ngoja tusubiri…

Cc: @Mahondaw