Kwangwaru.....New Anthem

Hii ni kwa wabongo mlioko huku; huu wimbo umeimbwa huku kwetu 254 nafikiri umekuwa kama anthem mpya manake nauskia kila mahali. Jangwa ni kwamba sielewi unamaanishaje.

Naomba mmoja wenu atupe lyrics na tafsiri yake kwa lugha ya kimombo tafadhali. Maelezo kiasi pia itasaidia. Background kama iko pia isikose

You must be really really slow. Lakini wasija.

Kenya miziki yenu mashuzi tu

Shenzi wewe, ululufemi ni nini?

Muziki wenu ni mzuri, but everything else about you is craaaap. Uko sawa sasa? Bwaga lyrics basi

:D:D:D:D
Just Google the damn song uache kusumbua… Ama uende JF

Kuna yule artist anaimbaga “hizi ni zako… Hizi ni zangu…hizi ni fundamental.” Niliipata hii song online accidentally but since then its has been my best song from Kenya.

Very funny, mediocre, and wack song…its way more imperfect though I’ve learned There is beauty in imperfection too.

Harambee majirani zangu.

You can’t be serious!!!

Kwani hujaenda??

Its the long story…nitakusimulia baadae best when I’m settled.

Hahaha! Braza waongea kizungu cha bongo

Ahahaha!! How do you like it?

Unataka kupigishwa deki?

Mimi si wa goli ndogo.

hithi ni fundamentooo

don’t mean to disrespect you but neno best limekaa kike:D:D

Sasa hapo kutoa kwenye kiswahili kuleta kwenye ngeli ndipo tatizo lilipo hata Harmonize hawezi hii kazi

Mi ni mbongo ila Khaligraph Jones ni noma hasa ile ngoma yake ya khaligraph cartel hapana chezea kabisa

Nani ako na kwagwaru ya sabere aweke hapa

huku tz ilo song tushalichoka

:D:D nenda kawaambie wanawake neno lao limechukuliwa rasmi na wavululana. Ahahaha!

Its our world and our word too. :smiley: