Kwa wapenzi wa korea drama hii ndiyo thread yako

Husika na kicha cha mada hapo juu. Ndugu, wadau na members (villagers) wa jamii forums ndani ya kenyatalk tuendelezeni ile thread yetu pendwa ua kule jamiiforums kwa kujuzana habari mbalimbali kuhusu korean movies and korean series mbalimbali za mjini na zile za vijijini (yaani sageuk drama). Stori mbalimbali za waigizaji, zifuatazo ni series 10 ambazo ninazipenda sana

  1. Prince of the legends (jumong)
    2.king gwanggaeto, the great conqueror
    3.princess ja myung go
    4.jingbriok, the momeir of imjin war
    5.seoul 1945
    6.emperor wang gun
    7.six flying dragon
    8.king dae joyeong
    9.age of warriors
  2. Emperor of the sea.

Kalibu kwenye mdahalo

ThePrincessandthematchmaker kitu kipya cha Mwaka 2018

Hii nilikuwa naifuatilia sana miaka ya 2009, 2010. Ilikuwa bomba sana kupitia ITV

[ATTACH=full]175818[/ATTACH]
Inaitwa “A soldier also known as god of war”

Jumong

Slave hunter

Tafuta ‘Swallow Of The Sun’ uone nguvu ya mapenzi.

Team song il gook (jumong) na team choi soo jong (jangbogo) mpooooo

Gunmen in joseon ndo nko naimalzia hapa

Iko vizuri sana iyo kitu

Timu Jumong nipo ila siku nyingi nchizi wangu hajatoa kitu kipya. Tokea THE man called god

“The Spirit” au “Phope ruk” nadhani ni waThailand wale hahaaaa…!!! Jamaa wanamasihara wale, eti roho inatafuta physical body…:stuck_out_tongue:

jewel in a palace bonge la drama hili nafikiri ndio ya kwanza kuonyeshwa na ITV ikafuatiwa na Jumong,Kingdom of winds ,Emperor of the Sea ,Slave Hunter

Empress ki nayo ni bonge la series za Korean drama

@Damushin Sunbae, @EMPTY, @UHURU JR na @aminas popote mlipo karibuni sana huku ugenini.

Dramanice ipo vizuri kwa kudownload vikorea

A poem a day nzuri kweli hii movie

Forever Song Il Gook
Ila kuna yule jamaa kacheza kwenye Empress Ki (Wang Yu) kanikuna sana.

Kikoje? Kikali au kawaida?

Nimemmiss kweli mfalme wetu wa Korea,ila Damushin aliniambia alitoa kitu kingine sikumbuki vizuri.

Kweli kabisa Mkuu,ila walikosea kumtoa mzee El Tamur mapema kwenye picha,pamepooza fulani maana mzee alikuwa na mipango hatariiiiiii.