Kwa uzoefu wako ungechagua kipi?

Hi guys,imagine umepewa fursa uchague either bajaji au Suzuki carry kwa ajiri ya biashara. Wewe ungechagua kipi na kwanini? Your views pls…

Inategemea na mazingira unayoishi, yapo mazingira ambayo bajaj ingefaa zaidi ila maeneo mengine Suzuki carry inapendeza…

Thanks ndugu

Kwa maeneo niliyopo Mimi (movements za hapa na pale ) ningechagua bajaji kwani huwezi kukosa vichwa per day. Ila Suzuki Carry itanichelewesha aisee mpk atokee mtu anahama ili nimsaidie kuhamisha vitu hahaa

Thanks Kwa mchango wako ndugu

Suzuki Cary,nategemea kuwa mfugaji wa Kuku na Ng’ombe wa maziwa kwahiyo Bajaj hainifai…

Huwa wanaenda kutega kwenye masoko ya bidhaa

Okey, ila huku kwetu huwa naona wamevipaki mahali wakisubiri wateja waje,sometimes mpk jioni vipo tuu, hivo naona bajaji ingenifaa zaidi