KWA TULIOKUWA JAMII FORUM TUSIWE NA KINYONGO

Wadau kwanza nawasalimu,na huzunika sana uku kukutana na post chache na zenye reply chache.Naomba mtambue kuwa jiwe kashaamua kuzima jf hivyo tuone tumeshapata makazi mapya hivyo tufunguke tu.
Nachoona mimi wadau wanafikir kuwa JF itarudi.Trust me itarudi ila ikiwa katika namna hatar sana Kwa watu wa kukosoa,tuache Kinyongo KT ndo kwetu

Ogopa sana serikali inayotumia mbinu ya kupoteza watu kujihami! Hata huku tuwe na tahadhari kubwa!

[FONT=courier new]Ni lini na wapi labda Watanzania walishathibitishiwa kuwa Serikali ndiyo inatumia mbinu kupoteza Watu kwa Kujihami? Tuanzie hapa Kwanza tafadhali![/FONT]

Wamezuia Uhuru wetu tumeamua kuja huku ugenini hadi hapo JF itakapo fufuka upya 2021 baada ya jiwe kusagwa na kuwa kokoto kama sio vumbi kabisa 2020.
Ajabu ni kuwa wale waliokuwa wanaunga mkono serikali kandamizi ya Uhuru Wa habari nao wametufuata huku na bado sana leta yaleyale waliyokuwa nayo kule bila aibu.
Watu kama Stroke, GENTAMICENE, jingalao nk. Tusiwavumilie waje wanye huku ugenini

Ben Saanane alihoji PhD ya “mtukufu wako jiwe” yuko wapi?

Muwe mnaona aibu.

Hiyo ni Serikali inayowaogopa Wananchi wake wenyewe.

Huwezi kushabikia CCM ukabaki na akili timamu.

serikali ya ma vampire

Hivi we ngedere una matatizo gani?SAA 8,LISU,AZORY au we auoni?mbona wanaopotezwa ni wanakosoa tu?HV YALE A NAYO FANYA MUSIBA angefanya mwingine ingekua je? Unajifanya wajua kumbe fala tu

Sio fala tuu Bali bonge la mshamba hasa!

ntarudi mkuu ht iwe hatr vp nkiogopa atavimba kichwa, najua hawez kutuua wote…

Serekali ndio inayopaswa kuthibitisha haihusiki. Lakini kwa bahati mbaya yenyewe ndio mshukiwa, na inapotakiwa kuja chombo kingine chenye uwezo kuliko serekali kudhibitisha, serekali hugeuka mbogo kukatalia uchunguzi huru. Katika mazingira haya watanzania wanataka ushahidi gani tena?

Kweli kama wanajua hawahusiki, iweje wachunguzi huru wana wakataa na wao uchunguzi hawafanyi?
Hata mtoto mdogo analigundua hilo

Wewe lijinga tuambie sasa serikali yako imefanyaje kuhusu watu waliopotea, kuuwawa na kukutwa kwenye viroba?

Ukiingia jf original kuna tangazo itarudi leo hewani. Lakini hakuna chochote kwenye display hata ile read only! Lakini ukweli ulio dhahiri kule hakuwezi kuwa salama tena hata kama wachangiaji ni wengi. Hili jukwaa la KT litaendelea kuwa salama na mchepuko pindi mizengwe ikianza kule home.

Mkuu hata mizengwe ikiendelea namna gani naamini bado KT ni nyumbani kama ugenini.

Zakaria ameponea tundu la sindano!

Kuna mambo mengine Sio ya kuchekelea

Orodha ni ndefuu.
Azori gwanda
Diwani ccm moja ya wilaya za kigoma
Mdude nyangali(japo alipatikana)
Masood kipanya
Roma mkatoliki
Na hao ni maarufu tuu.bado tusio wajua

Kumbe washenzi Lumumba tayari washaanza kujaa huku? Mamaeeee hili jinga litoa post. Wewe huoni kinachoendelea?