Kuomba na kupeana gari

I saw this post pale Sikika
[ATTACH=full]383856[/ATTACH]

[ATTACH=full]383858[/ATTACH]

Ati babe nikuambie kitu na usijam

i am impressed hio pillar bado inasimama

mimi siwezi peana [SIZE=1]although sina gari:D[/SIZE]

Ati babe leo ndio nitajua kama unanipenda…nikwambie kitu? Hii pillar ya neiba inataka kuangukia gari

hiyo michuma ndio pillar

Nguvu ya watu kupeana gari huwa inatoka wapi? Gari ni kama mwanamke. Can you go in for sloppy seconds after beshte yako amekula? What annoys ni gari inarudi ikiwa na funny smells, food crumbs, vumbi, matope, matapishi, changed radio stations, missing drinks and snacks, scratches, adjusted seats and steering. I just can’t can.

:D:Dalmost 100k right there… hizi insurance walipagi

Hio j120 Kwisha!!!..hapa Toyota Kenya will give you a quotation north of 500 g’s

120 series noma sana

Napeana gari ya biachara kama voxy na vitz. Comprehensive lazima

‘Mabeshte’ hukosana hivo never to talk to each other again… mwenye makosa will never even bother to help you foot half of the repair costs… they’ll be like “huyu jamaa anaringa na haka ka gari kake anadhani hatuwezi buy”

Mimi nikona gari viusasa

These are accidents.
Unaeza peana gari kwani ni nini? I relaxed that crap long time ago and I am not so uptight about it. Lakini usipeane gari watu waende kujifunza nayo. Give people you know how they drive.
If in your life you have invited stupid useless people you will be saying hauwezi peana gari. Watu wa maana huomba gari when they really need it.

I once gave my friend gari yangu. akarudisha ikiwa imelimwa na MSL za mwiki.

unaweza peana but kuna kauchungu kanakuwaga ukiachilia

Instead of giving out your car, give him cash to hire one. I think it ranges between 2-3k for saloons.

Looks feasible

How do you tell someone in the most humble way that hupeani gari/hutaki.

Unatoa number plates unamwambia NTSA wako na issue na registration ya gari and they want you to return the plates immediately for clarification