Kuna wanyonge na masikini waliokombolewa mpaka sasa katika nchi hii?

Kila mara rais huwa anasema anafanya haya yote anayoyafanyta kwaajili ya kuwakomboa wanyonge na masikini wa nchi hii. Ni wanyonge wa sehemu gani katika nchi hii ambao mpaka sasa wanaweza kuinuka na kusema maisha yao yamekuwa bora na nafuu toka huyu bwana ameingizwa madarakani kwa kubip na kusukumizwa?(in his own words)

Hiyo imekua kauli yake ya kujilinda pale anapowaumiza wanyonge waliofanikiwa ili kuwapa matumaini hewa wanyonge wenye roho mbaya

Bashite na wa aina yake. Japo huyo si mnyonge kwa definition yako na yangu am sure.

Utani tag mkuu,ukipewa jibu

Labda kuwanyonga zaidi

Wanyonge na masikini wamekomolewa tena sana tu

Shangazi zenu watapigwa…!!!

Hapana watawagonga shangazi zao…