Kumbe bobby aligeuzwa mlinzi wa kidogo

Bobby alikuwa analinda nyumbani kwa kigogo mmoja. Bado ninakusanya data

Hatariii.ngoja tuone watavyofichiana siri

Kusanyakusanyaa kisha zimwage hadharAni[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Haaaaahaaaaaaaa

Duh…

Hiyo ni hatari, lakini ni vyema wakizikana wenyewe kwa wenyewe…

We Sky Eclat wewe, kumbe na wewe unaishi kwa washua?..

I wish mkuu

Nilijua tu… na hizo pesa za kukodishwa zipo wapi?

Cc: @Mahondaw

Huyo bobby atakuwa mahiri sana maana kawa kama gold saivi.

Mmmh

Umeniacha

Kuna aliyemchukua bobby awe mlinzi wake binafsi

sio kwa baba k kweli

Yua veri kleva

Anatuambia siku zote yuaishi kwa mtogole. Shida ni kuwa niliwahi kumuomba anitafutie chumba cha kupanga niwe jirani yake lakini weee!

Ndio maana kangi kanywea sio, anaogopa yasimkute ya nape.

Ninja hamuwezi Joyce wowowo

Hahaahahaaa
Ninja na wowowooo Nani mtabe

Wanafundishwa lebanon na askari wake! ni madectective wazuri sana wa silaha na madawa ya kulevya! wana mafunzo ya nguvu kwa ulinzi na mashambulizi

Ndo nani bobby