kulikoni

Nimepitia apo jakaya kikwete/professional way na nimeona umati mkubwa wa wakisii,kuuliza iyo jamaa inauza izo kangumu za 10 na ndoo unaniambia wanaelekea state house,bigwa gashwin leta mbicha na habari kamili

si ungepiga picha na pia utoa habari kamili utuletee.

1 Like

Bila picha huu ni ujinga