Kuchunwa tenje

Hapo 2018 nishaitokwa tenje kiufala ikaniuma sana. Iyo idhaa nilikuwa nastay Ruai hapo mbele kiasi place ilikuwa inaitwa Acacia. Ilikuwanga idhaa ya world cup na iyo siku ilikuwa game ya Japan na Belgium; 1st half Japan ilikuwa imechapa Belgium 2-0. Nakumbuka iyo game iliishanga kama Belgium imegeuzia Japan wakawachapa 3-2.

So before iyo mechi ianze kuna morio wa me alikuwa ameget salo yake ya kwanza after kupata job so alikuwa ameniita joint flani inaitwa Freetown iko hapo Stage 26 ukienda Kamulu. Morio alibuy nyama kilo jamo na mbese alafu tulikuwa tunadishi tukiwatch game. Nikiingia Freetown nilipata morio akichapiana na jamaa flani hapo nikawagotea alafu tukaanza kuchapiana. Morio kuitisha nyama na mbese, uyo jamaa nilimpata wakichapiana na yeye, pia yeye akaitisha nyama kilo nusu na mbese. Mimi nikaona ni kama morio anatambua huyo jamaa coz niliwapata wakichapiana.

Tukakula tukashiba morio akaitisha round jamo ya Guiness. Uyo jamaa pia yeye akaitisha Guiness. Tukiwa midway ya mechi ikiwa 2nd half, uyo jamaa akanishow kuna venye tenje yake imezima na anadai kucall msee amtumie doo flani so nimuokolee na tenje yangu apigie huyo msee morio alikuwa ameenda kwa choo kunyora so nikadunga huyo msee tenje akaenda kubonga nayo. Morio kurudi tukaendelea kuwatch mechi tukimumunya Guiness, uyo jamaa alikuwa ameniitisha tenje nikaona amekaa sana na harudi nimauliza morio “oya rada huyo beshte yako ako wapi?”, morio akaniuliza beshte mgani nikamshow uyo jamaa alikuwa amekaa kando yake akibonga na yeye morio akanishow hatambui huyo jamaa alimpata tu hapo wakaanza kuchapiana.

Hapo nikashtuka kidogo roho isimame; morio naye ananiuliza ati mbona nauliza nikamshow nilimuwahi tenje yangu avutie nayo msee. Morio akaniangalia akanishow rada yangu ni gani napea aje stranger tenje yangu nikamshow nilikuwa nadhani wanatambuana. Morio kucall tenje yangu ilikuwa ishakuwa mteja, kutoka nje huyo jamaa hayuko. Kuuliza watchie akadai hajacheki jamaa kama uyo, CCTV nazo tukaambiwa zilikuwa under maintainance so hazikuwa zinawork iyo idhaa. Psyche ya kuwatch hio mechi iliisha hapo tu nilishow morio wacha nirudi kejani. Iyo kitu iliniuma sana juu hiyo tenje ilikuwa brandy na ilikuanga Huawei P20 Lite ndo zilikuwa zimetokea hiyo idhaa; nilikuwa nimetoka kushika siku kama tatu zimeisha. Morio akanishow pole na akanishow next time nikuwe nauliza ndo nisipee stranger mali yangu. Nikajitoa nikaenda kejani kulala juu ilikuwa gizani, kuna vile nilijaribu kuenda kwa makarau lakini walikuwa wanadai niwakanje kakitu ndo waanza kutrack iyo tenje ilibidi nimechorea tu.

Hii lugha yafanya niumwe na kichwa. Sasa andika vizuri

Pole Morio, izza jo

Seems like your friend was in on the scam.

@Kamjesh kuja

Hekaya za Apunwazi

Mbese na nyake nusu ya morio ililipwa na nani juu management haiko comcerned kuna mtu amehepa bila kulipa.

I like it this way. It sounds real. But I can translate it into English. With original author’s permission of coz.

Hii lugha ya ushenzi tu
Sitasoma

We should patent it and make our own dictionary. Sheng was doing well…

Hekaya safi sana.

Hii lugha iko sawa. Unless wewe ni jamaa wa ocha huwezi elewa

Mimi si wa ocha. I just can’t handle the fucking cringe

:smiley: fala sana wewe