Kuchafua Radar

Unarelocate lokeshen mpya unakuwa friends na njirani a fellow bachelor, then unaanza shughuli za kutupa mtama kwa local gels, only to find that plot yenu imekuwa marked na NCA, KeNHA, NEMA, KPLC, DCI, etc as a no go zone since jirani yako amepita nao wote. Inabidi uanze kuimport ama uende next estates. Inauma sana. Hata yeye anakupigia stroy za hao madem wote.

Sasa kutaja hizo govt bodies zote zina significance gani kwa masaibu yako?

huyo ni perfect wingman