ktalk peasants unveiled

Ukiona ule mujamaa amepotea online from 6 mpaka saa hii ni peasant wa telkom , he cant afford Safcom bundles . @Wanaruona aliniambia Telkom internet ilipotea 6 na bado haijarudi.

Telkom iko kama ktalk kijiji with its blackouts

Chesa shini mtukutu Rais.
Anyway nilihama Telkom since connecting to Home fibre. They are very erratic with slow speeds. Imekuwa meffi.
When am out of range natumia 5GB which is part of the minthly package.
Checki hizo speeds mdau:
[ATTACH=full]411333[/ATTACH]
Showmax movies ziñaķuja in HD.

peasants wa telkom tumekipata joh…alafu huku transformer imeChapa na mumunya konyagi gizani kama illuminati banae

:D:D:D:D:D telkom imerudi ?

wapi… saa ii natumia safcon

Wewe nyamaza !!! You can’t even apologize for your frequent ktalk black outs !
Shenzi type !

:D:D:D

@Freyja
[ATTACH=full]411336[/ATTACH]

Mgisu cheza Chini. Leo nilikuwa mbioni kumalizia backlog ya vishnu. Ni January i dont want to be jobless.

Apologies niliweka kaa sita mdauress.
Basi am sorre.

:D:D:D:D:D don’t mind me.
Lazima I kick your balls once in awhile.

Malisa yeye

Huwa sina issues on the Home Plan if there were I couldn’t noticed because I’ve been home since the weekend.

Telkom still have the best pckages. but i find it strange , leo kulikuwa na hashtag ya boycottsafcom then Telkom inakunywa blackout nashuku ni safcom ili sabotage telkom. chokosh corporate wars

So wanamalisana kama kijiji na senate

:D:D

@Agwambo hutumia daily 10mb telkom pamoja na boyfriend @PHARMACY

They are back

Their customer care is horrible though.

Niko nyuma ya saf riwe riwaro

opusssss