Who is this kid?
Where is his money coming from?
Was scrolling on Instagram and came across his profile
Never heard his song but he’s somehow living a life his music clearly can’t afford him.
Kuna mtu anajua the inside story ya huu kijana?
Kambwa kalisema kakiwa highschool, mzae wake alikuwa anakapea pesa mingi sana excess ju haukwa anajua exact pesa anafaa kulipa shule… Sasa apo ndio kakaanza biz ya manguo, kakagrow ivo adi ikafika kuuza magari ndio sasa kanauza
Nilikuambia wewe nakununua,petco zako,empress ya kwako na hio subwoofer unaita nyumba na change ibakie ghaseer. Club ni kitu ya kuafford ?,uliza vile nalipa hoteli nikiwa side ile ingine,hapana club mushienz