kombe la dunia... kwanini kamera zinawazoom mabinti wazuri tu

hii tabia ya washika kamera kuwaangazia mabinti wazuri tu inakera na inabagua sana yan kamera huwa znaangalia mw3anamke ,mzuri ndo znzmzoom ila kina mwajuma kimobitel hadi afanye kituko ndo utamuona

mfano nchi km nigeria iliyokuwa na uhaba wa mabinti wazuri ilikuwa inawarudia wale wale wawili kila siku

fifa tv wacheni ubabaishaji mulikeni wote

pia nichukue nafasi hii kuwapa pongezi mabinti mexico,ujeruman na korea ndio wazuri zaidi kwenye mashindano haya kuliko wengine wote

hivi unajua moto wa machotara wa Brazil

jipe muda pia ufuatilie vyuma vya mekiko

tuhitimeshe kwa kusema latin na south amerika ni hatari mkuu!..hawa caucasian wa europe na wenzao hawanishawishi…ila naona kitu nyeusi ndo kali ya wote

wajerumani watamu pia mkuu hawatumii mikorogo very natural

Latin girls ni wazuri sana…washika kamera endeleeni kuchapa kazi

korea hujawazoom bado mkuu

Wakawaida tu wale mkuu…

Kama Kenya ingekuwa kwenye World Cup nafikiri kamera zingewekwa kwenye sura za mabinti dakika zote 90. Kenya kuna watoto wazuri bhana.

Daah nakweli kuna watoto wazuri wanaonyeshwa balaa tupu huko Russia

Camera man chapeni kazi ila watazamaji tunapata tabu sana

:p:p:p:p:p:p:p:p

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Naona fifa wameanza kutowazoom watoto wazuri kwenye mechi za jana

never compete with a woman ,

WEKA PICHA PICHA

MI HUWA NAPENDA MENO YAO TU NA BLAKNESS vingine wamenyimwa

Tatizo mademu wa kiingereza wote kama wanaume

wananishinda kwenhe shepu za miguu yao imejazia kihasara hasara

kusafisha machoo!

Hahahahaaa