Kitu Gani ushafanyia mtu ukidhani atakushukuru lakini wapi (ungrateful people)

[ATTACH=full]366484[/ATTACH]

No good deed goes unpunished

Women in general, feeling you are obligated to spend mulla on their azz because they have a puthy.

kuna heka nilipeana sometime back.
nilikuwa kwa matatu nikishuka nikaona simu kwa kiti nikaichukuwa juu hao makanga nilijuwa hawawezi rudisha.
kutoka nayo ilikuwa na unlock pin so sigeweza ku access anything, waited hadi mtu apige simu

simu kupigwa nikamuelezer the caller kuwa nimeokota simu kwa matatu kama unaweza reach the owner anipigiye na my number, nikamuliza kama ako na kalamu andike my number.

mimi nadhani am doing the right thing ati nikipeana simu blessings will follow me:D

after a while jamaa ikanipigia nikamshow mimi niko based town near posta, kama simu ni yako nitakupatia, after like an hour jamaa ikapiga tena kuwa iko posta,nikamshow nakuja apo…mimi nikaenda vizuri kupatiana simu,nikapataa jamaa mukorino nikamshow nili-ipataa kwa seat ya matatu, jamaa kumpatiya simu niliskia nimeshikwa na kuwekwa pingu na jamaa hazina uniform…hadi central police station

saa iyo ata job sikuwa nimefunga juu nilijuwa ni kitu ya dakika mbili

nikafanywa interrogation na izo mbwa for over 30 mints
nikawauliza kama nili pick pocket si nigekuwa nimezima simu yake na niuzee

karao moja akadai uyu jamaa awachiliwe tu na mzee unafaa kushukuru

mukorino akakuja nilipo ambiwa niende nikamshow wewe ni matako
nikachomoka central nikaingia tuktuk nikarudi job

sitawai jaribu kujifanya mzuri tena nikipataa simu naiwacha tu apo

:smiley: :D:D Aki pole. That’s one nasty mukorino.
I wish ungelipa hao machokosh Huwa hio area ya kiwanja to deliver a few hot slaps and a kick on his ungrateful ass.

Heheh. Umenikumbusha story fulani.

A while back nilikuwa na Toyota NZE. So sometimes watu walikuwa wanamistake it for taxi. Siku moja Friday usiku nikielekea Thika nikapita kwa service lane hapo K.U. Nikapigiwa simu nikasimama hapo chini ya footbridge kwa stage kuichukua. Mastudent wakakuja kwa gari. Majamaa wawili na madame wawili. Wakaingia wakasema niwaweke Bypass. Nikawaambia nitawaweka but sitawalipisha juu sio taxi. Nilijua wao kupata gari hapo ni ngori at that time. Plus kulipisha students ilinikalia ujinga. Wrong. Walitoka instantly na wakaanza kunitusi ungrateful bastards :smiley:

Looking back I have to admit I was also a little bit naive kukubali kupea strangers lift in the first place. I was outnumbered.

there was a time I decided kukuwa mzuri na nikapatia wifi password to some neighbours.
wrong, mmoja alipeana hio password the whole area juu as I showed sreaming speads zangu ni 500mbps (See date stamped screenshot below) a while ago. One day I met a tent outside kwa road juu wifi is strong with more than 20 morios downloading porn or some shit juu ata my google couldn’t load.

Nilienda nuikangoa hio wifi nikatumia cable for 2 days as I thought of how to redo everything.

acha nisema window panes were broken for 3 months as I replaced and even had to report twice. APANA PATIA BONOBO WIFI PASSWORD NEFFA

[ATTACH=full]366494[/ATTACH]

Wah , why didn’t you just change the wifi password ?

Everytime the neighborhood kids come home for their holidays I change my password constantly.I used to find them sitting outside my lane wakijifanya ni story kumbe they were busy downloading their BS.

Apana Bana These kind of speeds haitaki password change they can hire a brutforce tool to crack it, and inturn cause you more harm, kuchange password with a crowd nje waneza organize wakurukie. Kuzima ndio kwanza waende and a few days ndio waone its gone alafu. Nikairudisha Ikiwa hidden network.

Wi-fi ni yako. Don’t be a coward kuchange password.

Ghai ! Hio ni kriminoh .
Are you a micro internet service provider though ? There’s a time I had speeds of 120Mbps…that was pretty fast for my usage.

Kwa settings za router kuna vile you can disable broadcasting your Wi-Fi, so ni wewe tu and your family who’ll be using it. Ng’ombe za kudandia wifi hazitakuwa zinapata notification.

Rushia mimi hii…

Sande Sana Cyber Meister.
I did not know that.

Kuna kunguru flani aliniomba penthouse yangu afanye birthday party na mabeshte wake.
That time I was naive thinking it was a good plan since I would get puussy for the weekend.

I made it absolutely clear that I don’t want tree holders at my place (except for me and my boys).

Madem walikuja wengi sana. The ratio of men to women was 1:3, and the other guys were my friends.

The kungurus were very excited with the ambience at my pent place since they were busy taking photos and posting on Snapchat, Instagram etc.

And they all wore short and tight dresses. Mwingine ata hakuwa amevaa panty.

Everything was going perfect until some Tanzanian chiq (friend to the birthday girl) came to the party.

Huyu kunguru wa TZ sijui shida yake ni gani. Tuseme tu alikuwa kichwa ngumu.

She spoiled the whole party. Kidogo kidogo napatana na majamaa sijui kwa nyumba yangu. Kuwauliza wanasema ati wameitwa bash na huyo TZ kunguru.

Alafu huyu TZ kunguru anaiingia mpaka kwa kitchen cabinet yangu anachukua pombe zangu bila ruhusa na anapatia hao wasee banar!!!

Mara kuna mtu amerusha sigara kwa balcony ikachoma mtoto wa jirani huko nje. It was chaos!!!

Anyway, huyo TZ kunguru akaanza kuleta nyef nyef ati wanataka kuenda place ingine na hao majamaa.

Hao madem wengine walikuwa wanataka kubaki but huyu TZ kunguru ndio alikuwa group leader ya madem. Funny that she was the ugliest of them all.

No way I was going to let their male friends come to my house, drink my alcohol, enjoy my amenities and leave with the chiqs like I’m a simp nigga.
Haiwezi!!!

To cut long story short, nilifukuza hao majamaa waliitwa na huyo TZ kunguru kwa nyumba yangu, alafu nikajifanya funguo za nyumba zimepotea.

Madem walibaki kwa nyumba.

Venye hao majamaa walirudi ku-ring door bell ati wanakujia madem (they knew each other), nilichungulia kwa peep hole alafu nikapigia security simu.

Caretaker and watchmen walichangamka haraka sana.
They were kicked out of the premises like burukenge.

This way back last year when covid first came to Kenya and curfew was 7 p.m.
After curfew hours, I suddenly discovered where I “misplaced” the house keys.

I told the chiqs that whoever wants to leave can go, but good luck finding an Uber past curfew hours in my neck of the woods.

The chiqs had no other option but to stay for the night. And the party continued.

I gave my friend and his chips funga lady lift after a night of drinking spree in tribeka. So Dem tukiendelea na safari akaanza kutapika in my merc bana. Matapishi inaruka Hadi kwa handbrake bana.then i hear the guy consoling her ati “don’t worry, my driver will take the car to a car wash tommorow”

:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D:D eh y’all making me laugh hard.

:D:D:D:D:D:D:D