Kinamama hivi mnaanzaje kuwaweka watoto nywele dawa?

Unakutana mtoto kichwa kimekomaa utafikiri cha bibi.

Huu ni ushamba au kuonesha wewe unampenda sana mwanao? na kuona ambao hawafanyi hivyo hawawapendi?

Shangaa na wewe

ni ulimbukeni tuu

globalization inaharibu watu…wataelewa madhara yke badae

Ulimbukeni wa wamama wanaojifanya kwenda na wakati

Sio dawa tu hata kumsuka suka naona kama mtoto anakomazwa kichwa haraka mno

Ni kweli, niliwahi kukuta mtoto anasukwa marasta yale yaani anavyofinywa mtoto analia hadi kulia.

Kuja kumaliza mishipa imesimama kichwani unaweza walikuwa wanapiga.

Ndio nimeshangaa hivyo.

Wanasema unapoweka dawa unazeesha ile mishipa ya kichwa, so usoni pale kwenye kipumi panaonekana pamezeeka kabla ya umri.

Kumbe wanapotea na wakati.

Wanawake sisi akili zetu tunazijua wenyewe nakumbuka nilianza kusuka nikiwa primary

bila kuweka picha ya mfano haisisimui

bila kuweka picha ya mfano haisisimui

bila kuweka picha ya mfano haisisimui

Dawa za nywele ni mbaya kwa wanawake na zaidi sana kwa watoto.Hizi dawa zana ingia kwenye ngozi na kwenda kuharibu figo na hata kuleta kanza ya ngozi baadae ie mkorogo

Duh sikulijua hili