KIMENUKAAAAAAAA

Mtuhumiwa wa kwanza Dedrick William aliyeshtakiwa kwa mauaji ya Marehemu Xxxtentacion aripotiwa kulawitiwa akiwa gereza la Broward County na taarifa za harakaharaka zinahusisha kundi la Kodak Black kuhusika na ishu hiyo .

Inaripotiwa kuwa Derick William alikuwa akioga ndipo watu wakamvamia na kumfanyia kitendo hicho na wengine kudai kuwa kutokana na ukaribu aliokuwa nao Marehemu Xxxtentacion na kundi la Kodak Black huenda wakahusika mojamoja na tukio hilo.
TOA MAONI YAKO HAPA TAFADHALI
[ATTACH=full]180800[/ATTACH]

Daaah. Noma sana

Kama aliua kweli basi wacha wamle tu

Duh

duh, linda iko tatuka

Walikumbuka KY?

watu walisham bandua tyson atakuwa huyo dogo

Pichani ndio aliye tatuliwa marinda au huyo msanii aliyeuawa?

Hmm!.. No comments…

So sad