Kilio cha Wanakijiji

#1
wazeelia.jpg
Kwa hali ilivyo na masharti magumu yaliyowekwa, wanakijiji tulio ukimbizini tunaosubiri JF irejee tunaweza kuishia kama hawa wastaafu wa Afrika Mashariki, ambao hata baada ya juhudi zao za kudai haki yao kugonga mwamba mgumu wa serikali ya chama cha mapinduzi, waliamua kufunga barabara ya H.Mwinyi eneo la daraja la Serander lakini wakaishia kupokea kichapo...
 

Top